Asalam alaikum wenye meli/ferrey wa zanzibar wache kutesa abiria kwa kuuza tiketi nyingi kupita kiwango cha chombo chao na kuwacha abiria kuteseka bada kuzuiwa kuingia bandarini kwa sababu chombo kimeja na wakitafutwa huwa hawaonekani naomba serikali iwasake na kuwashtaki kwa usumbufu wa abiria