Jump to content
IslamicTeachings.org

HassanSalehDamnan

Members
  • Posts

    0
  • Joined

  • Last visited

Profile Information

  • Gender
    Not Telling

HassanSalehDamnan's Achievements

Newbie

Newbie (1/14)

0

Reputation

  1. asalam alaikum im travel tday morning at 7 am to moshi tanzania i need ur prayers thanx have a blessing day everyone

  2. Asalam alaikum wenye meli/ferrey wa zanzibar wache kutesa abiria kwa kuuza tiketi nyingi kupita kiwango cha chombo chao na kuwacha abiria kuteseka bada kuzuiwa kuingia bandarini kwa sababu chombo kimeja na wakitafutwa huwa hawaonekani naomba serikali iwasake na kuwashtaki kwa usumbufu wa abiria

  3. Asalam alaikum kumepatikana maiti kadha katika ufuo wa wasini kenya idadi kamili haijajulikana mpaka sasa na hizo maiti ni za MV SPICE iliyozama nungwi zanzibar pamoja na vitu kadha habari kamili hatujapata ya kujuwa idadi ina lilahi waina ilahim rajiun wenye jama au rafiki huko wasini wawasiliane nao kupata kujuwa zaidi

  4. asalam alaikum ndugu zangu nimepata habari za kusikitisha ati serikali ya tanzania haijui miliki wa meli/ferry iliyozama jee huu ni ukweli au ni kuficha ukweli au miliki ni moja wa maofisa wakuu wa serikali nipeni jibu

  5. Asalam alaikum nawaomba ndugu zangu waislamu na wakiristo siku kesho tutenge ukurasa huu kwa ajili ya kuwaombea ndugu zetu waliopata ajali ya ferry ili tuonyeshe imani yetu upendo wetu na uzalendo wetu kwa waliofiliwa na waliopona na mola atawabariki ameen

  6. hongera walimu wa kenya na uganda kwa kutetea haki zenu bila uwoga sukumeni hao viogozi walafi musiwaone huruma

×
×
  • Create New...