
HassanSalehDamnan
-
Posts
0 -
Joined
-
Last visited
HassanSalehDamnan's Achievements
Newbie (1/14)
0
Reputation
Single Status Update
See all updates by HassanSalehDamnan
-
Asalam alaikum kumepatikana maiti kadha katika ufuo wa wasini kenya idadi kamili haijajulikana mpaka sasa na hizo maiti ni za MV SPICE iliyozama nungwi zanzibar pamoja na vitu kadha habari kamili hatujapata ya kujuwa idadi ina lilahi waina ilahim rajiun wenye jama au rafiki huko wasini wawasiliane nao kupata kujuwa zaidi