Forgot your password?
0
See all updates by HassanSalehDamnan
asalam alaikum ndugu zangu nimepata habari za kusikitisha ati serikali ya tanzania haijui miliki wa meli/ferry iliyozama jee huu ni ukweli au ni kuficha ukweli au miliki ni moja wa maofisa wakuu wa serikali nipeni jibu