Asalam alaikum nawaomba ndugu zangu waislamu na wakiristo siku kesho tutenge ukurasa huu kwa ajili ya kuwaombea ndugu zetu waliopata ajali ya ferry ili tuonyeshe imani yetu upendo wetu na uzalendo wetu kwa waliofiliwa na waliopona na mola atawabariki ameen